Friday, October 26, 2012

RAPPER LIL WYNE AKIMBIZWA HOSPITAL....


Baada ya kuonesha dalili za kupata kifafa jana (Oct. 25),rapper  Lil Wayne anaendelea vizuri.akiwa kwenye ndege ya binafsi ,alilazika kutua Texas ili akimbizwe hospital ....mtandao wa TMZ umeandika ,LiL Wayne alispend masaa kadhaa chini ya uangalizi .lakini 
mpaka sasa akuna tarifa rasmi za kidaktari zilizotolewa juu ya gonjwa wake...
\\\\\Siku mbili kabla ya jana ,Lil wyne na Sarah ViV walisherekea birthday ya mtoto wa kiume...

0 comments: