Tuesday, October 23, 2012

JEBI aachia TRACK maalum kwa marehem Stevin Kanumba na Lulu...

Akiitambulisha Track hiyo kupia Splash ya Ebony FM na JayRee, amesema aliamua kuandika ngoma hiyo kutoka na kila mmoja kuzunguza lake juu ya kifo cha Kanumba..na pia kuonesha umuhimu wa wasanii wote wawili LULU ambaye yupo jela mpaka sasana marehem KANUMBA katika Tasnia ya Filamu..

download na kuisikiliza hiyo Track hapa....
Jebi
ntakuja tuonge

0 comments: