Saturday, October 06, 2012

President Barack Obama hawezi kumsikiliza Jay Z au Nas akiwa na wanae...


Ishajulikana kama President Barack Obama big fan wa music wa  Hip Hop ,lakini sio peke kwenye familia  yake naependa kusikiliza rap music, President Obama amesema moja wa watoto wake wa kike malia anapena midundo ya HIP HOP,pia akasema nikitu ambacho tukifurahia kwa pamoja ,lakini huwatumia wakongwe Jay  Z kama mfano.
"Tumekuwa tukishare lakini hatusikiliza kwa pamoja kwasasabu kuna lugha nyingine zinanikera….amesema President Obama

0 comments: