Monday, October 15, 2012

DNA awa msanii wa pili kujitoa Kisima Awards!


Three days baada ya nominees wa Kisima Awards kwa mwaka huu kutangazwa, ishu ambayo itafanyika November 2, rapper DNA amejitoa katika tuzo hizo ,nahii imekuja baada muimbaji wa gospel Daddy Owen kujitoa pia..

habari zilizopo hivi sasa ni kwamba, DNA ambaye yupo katika label ya Grandpa Records,amesema hato shiriki katika tuzo hizo kwasababu raia wa Kenya wamempa DNA na  Grandpa Records highest award kwa kutengeneza  “Maswali Ya Polisi” ambayo ni  award muhimu kwao..
jamaa walikuwa nominated katika vipengele viwili  Best Boomba Artist kupitia ngoma ya , “Maswali ya polisi” by DNA and “Fimbo ya kwanza” by Grandpa Family.
Hata bongo mara kadhaa tumesikia wasanii wakijitoa kwenye tuzo mama za hapa nchini,Dully Sykes Alisha wahi kufanya hivyo kwenye KTMA..

0 comments: