Saturday, October 06, 2012

Nani Mkali Rihanna au Karrueche ...


Kuna Rumors kwamba  drama zimeendelea tena kati ya Chris Brown na  Rihanna ,na safari hii eti inadaiwa wamerudiana na breezy amefunguka kaachana na girlfriend wake Karrueche Tran kulinda urafiki wake na  Rihanna.
Duh!sasa ukipata nafasi ya kutoa kura kati yao unampa nani????

0 comments: