Wednesday, October 03, 2012

Navio kufanya varsion ya kiswahili ngoma yake One & Only.....collabo na AY.


Mkali wa Hip hop kutoka UG baada ya kupika Show Nairobi ,Kenya mwishoni mwa wiki,bado ameendelea kubakia nchini humo kwa lengo la kutafuta msanii mkali ili afanye nae collabo..Navio ameplan kufanya version ya kiSwahili ngoma yake inayohit One and Only.
Jamaa anasema anatafuta sauti nzuri katika ngoma itayofit ,haijajulikana ni nani lakini amedhibishisha kufanya kazi na AY kutoka 255..
Sikiliza ONE and ONLY..

0 comments: