Sunday, October 28, 2012

DRAKE ATOA SPEECH WAKATI AKIMALIZA HIGH SCHOOL..

Baada ya kumaliza high school, Drake atoa speech katika sherehe za mahafari Drake mwenye umri wa miaka 26 alisima juu ya jukwaa la mahafari huko kwao Toronto, Canada.na kumshukuru mwalim wake Kim Janzen,kwa msaada aliompa kukamisha malengo yake. 

"nikiwa nimesimama mbele yenu, napenda wote muelewe,nimepata kile nilichoitaji,kile ambacho kila mmoja anahitaji kutoka hapa,muhimu sio vitabu tulivyosoma , sayansi au hesemu tulizofanya.nivingi kuhusu maisha tumejifunza” 
 
Sehem ya speech aliotoa Drake..

Watch Drake's graduation speech below.

0 comments: