Thursday, October 04, 2012

Member wa P Unity,Frasha anaachana na kazi yake ya Udakitari....


Frasha kwa muda wote amekuwa akificha sura yake ndani ya kofia ,sababu ni doctor hakutaka wateja wae wajue yupo kwenye has entertainment industry.
Lakini kwasasa jamaa hatoendelea tena kufunika sura yake kwa kofia baada ya kuachana na kazi ya udaktari ,na kujikita kweye music..Frasha ambaye ni baba wa familia amekili alikuwa akificha utambulisho wake kwenye muziki kulinda career yake kama  Physiotherapist pande za Aga khan hospital..

0 comments: