Monday, October 15, 2012

Octopizzo going INTERNATIONAL……………sasa kufanya collabo na Mavado


Rapper ambaye rumors zinasema ni Illuminati member Octopizzo  25, Octopizzo amezidi kuvuka mipaka ya Africa katika carer yake ya music

Making the news on his upcoming track, Octopizzo break the news kuwa rafiki yake G Money amemsaidia kuandaa collabo na Jamaican artist Mavado na tayari wameshaa andaa namna ya kurecord kuanzia audio mpaka video

Octopizzo kwa siku za karibuni amekuwa busy na shughuli za kujiongezea kipato ,week kadhaa alizindua clothing label pia amefungua stationery company ambayo itakuwa nazalisha Namba nane pencils and pens akiwatarget vijana wa shule ambao ni mashabiki wake wakubwa
                                                Mavado

0 comments: