Tuesday, October 02, 2012

Cannibal ampoteza babu yake...


Ralph Sanda Masai a.k.a Cannibal amempoteza babu yake..kifo ambacho sababu zake hazijajulikana ..hivyo jamaa alijumuika na familia yake pande za Mombasa kwaajili ya maziko  yaliyofanyika jumapili iliyopita
Cannibal alianza music career 1993 na kuanza kutambulika 1999. Ameisha achia albam tatu mpaka sasa,akiwa amewashirikisha wakali kibao ka Nazizi, Ukoo Flani, Abass, Harry Kimani, Prezzo, Fundi Frank, Bobby Mapesa, Amani, Black Eye S.A, Wendy Kimani na Chiwawa.
Kwasasa anafanyia kazi albam yake ya nne
Swahiliinfo inatoa pole kwa familia ya Ralph Sanda Masai a.k.a Cannibal.

0 comments: