Thursday, January 30, 2014

kutana na Adenike ,mrembo anaefanana na First lady wa marekani

0 commentsadenike ni mrembo kutoka Nigeria amekuwa gumzo kwenye mitandao kutokana na ukweli kwamba anafanana na Michalle Obama ..
Toa mawazo yako..

D'banj azindua kampeni ya kuwekeza kwenye kilimo barani afrika...

0 comments


Kokomaster D’banj week hii yupo nchini Ethiopia Addis Ababa  kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni ya kuwekeza kwenye kilimo ,uzinduzi unaofanyika wakati kongamano la nchi za umoja wa mataifa ya afrika likiendelea nchini humo ..

Wednesday, January 29, 2014

TIZAMA VIDEO KENDRICK LAMAR AKIZUNGUMZIA TOUR YAKE YA SOUTH AFRICA MWEZI FEBRUARY..

0 comments

kendrick lamar
Kupitia video iliwekwa youtube jana jumanne  rapper Kendrick Lamar ametuma salamu kwa Fans wake pande za  south Africa akiwaweka tayari kwa ajili ya tour yake atakayo ifanya nchi ni mwezi  February.

Monday, January 27, 2014

MAYWEATHER AMTUMIA UJUMBE WA WAZI JUSTIN BIEBER .

0 comments
http://www.inflexwetrust.com/wp-content/uploads/2014/01/IFWT_Mayweather-message-Bieber-.png

Floyd Mayweather ameonesha upendo kwa homie wake Justin Bieber baada ya hivi karibuni kukamatwa na kuachiwa kwa kosa la kuendesha gari kwa kasi huku akiwa ametumia marijuana na kilevi .   Mayweather kupitia Instagram & Twitter ameutaka ulimwengu kujua bado anampa support bieber ambaye kwa hivi sasa ameenda kuondoa stress pande za panama..

MACKLEMORE AKIRI KENDRICK ALISTAHIRI KUSHINDA TUZO YA BEST RAP ALBAM,AMTUMIA UJUMBE KUMFARIJI..

0 comments


 Macklemore-Kendrick-Lamar-Grammy-Battle
Macklemore & Ryan Lewis usiku wa jana walishinda tuzo  4 kwenye Grammys na moja kati tuzo izi 4 ni pamoja na tuzo ya Best Rap Album kupitia albam yao ya The Heist.
Jamaa walikuwa wapo kipengere kimoja na Jay Z kupitia albam yake ya Magna Carta, Kanye Yeezus na albam ya Kendrick  good kid, m.A.A.d city

PICHA:JUAN MATA SASA KUVAA JEZI NUMBER 8 OLD TRAFORD.

0 comments
Embedded image permalink

Grammy Awards 2014: The Complete Winners List

0 comments
 beyonce-jay-z-couples
Best Latin Jazz Album: Song For Maura, Paquito D’Rivera And Trio Corrente

Best Compilation Soundtrack Album: Sound City: Real To Reel, Butch Vig (Compilation Producer)

Best Musical Theater Album: Kinky Boots, Cyndi Lauper

Sunday, January 26, 2014

Wezi wa kwenye mtandao wame-hack facebook account ya msanii Bonge La Nyau na kuandika Diamond platnam amdiss AliKiba kwenye MEDIA..

0 comments


Msanii bonge la Nyau amekana kumiliki account ya facebook ambayo imeandika habari ya kuwa diamond amemdiss alikiba wakati akifanya interview na kituo cha chanel ten,bonge la nyau amesema ni kweli account hiyo ilikuwa ya kwake lakini hivi sasa kuna mtu amei-hack..

Friday, January 24, 2014

JOSE CHAMELEONE NA DAVIDO WAFANYA NGOMA INAITWA ALL DI GIRLS,INATOKA HIVI KARIBUNI..

0 comments
Chameleone and Davido out new single

wakati jamaa akitarajia kuachia albam yake mpya Tubonge mwezi march mwaka huu ,Jose chameleone amewataarifu fans wake kupitia Instagram juu ya ujio wa ngoma mpya aliofanya na davido kutoka Nigeria ambaye alikuwa nchini Uganda Dicember mwaka jana .

BABA WA MARY J BLIGE ANA HALI MBAYA, ACHOMWA KISU SHINGONI ...

0 comments

Baba wa R&B superstar Mary J. Blige amekimbizwa hospital jana alhamis akiwa katika hali mbaya baada ya kuchomwa kisu shingoni.

Taarifa za awali kutoka kwa maofisa wa police zinasema baba wa MJB Thomas Blige, 63,amechomwa kisu na alie wahi kuwa girlfriend wake mwanamama Cheryl Ann White, mwenye umri wa miaka 50, ambaye alikamatwa katika eneo la tukio kwa kosa la kujaribu kuuwa .
Haijaulikana mpaka sasa tatizo lilikuwa nini ..

Thursday, January 23, 2014

***new video***nje ya box-joh makini &nick wa pili ft g nako

0 comments

NU JOINT :WE ALRIGHT -YOUNG MONEY (LIL WAYNE,BIRDMAN AND EURO)

0 comments
File:Young Money Entertainment second logo.png

T-PAIN "KANYE WEST ALI-RECORD NGOMA YAKUNI-DISS LAKINI HAKUITOA"

0 comments
T-Pain amesema Kanye West ali record ngoma kumuhusu yeye ,akielezea  jinsi gani idea za T-pain zilivyo hazina kiwango( zaki-wack)  

YOUNG MONEY KUTOKA NA ALBAM YA PAMOJA MWAKA HUU..

0 comments

Cover photo
Young Money is back. Kundi la young money linatarajia kutoa albam mpya mwaka huu‘Young Money: The Rise of an Empire,’  albam ambayo itahusisha wasanii wote kutoka Young Money kama Lil Wayne ,Drake, Nicki Minaj ,Tyga na wengine
Single ya kwanza kutoka kwenye hiyo albam inaitwa   ‘We Alright’ featuring Lil Wayne, birdman na Euro,na imeshatoka kwenye radio station kuanzia jana (Jan. 22). Euro ni msanii alie jiunga na YM hivi karibuni
Ngoma mpya ya drake ,Trophies pia itapatikana kwenye albam hiyo ambayo imetangazwa rasmi kutoka march 11

 “There’s nothing like it when the whole family gets together in the studio. YMCMB is stronger than ever, and everybody was truly on fire. We’re all blessed to be a part of this incredible Empire as it continues to thrive. I can’t wait for what’s next. Keep watching,” Wayne added.