Friday, January 24, 2014

JOSE CHAMELEONE NA DAVIDO WAFANYA NGOMA INAITWA ALL DI GIRLS,INATOKA HIVI KARIBUNI..

Chameleone and Davido out new single

wakati jamaa akitarajia kuachia albam yake mpya Tubonge mwezi march mwaka huu ,Jose chameleone amewataarifu fans wake kupitia Instagram juu ya ujio wa ngoma mpya aliofanya na davido kutoka Nigeria ambaye alikuwa nchini Uganda Dicember mwaka jana .

 
Chameleone alipost picha hiyo hapo juu kwnye istagram na ujumbe ulio someka "New hit 2014 activated All Di Girls, Chameleone and Davido,"

0 comments: