Monday, January 27, 2014

MACKLEMORE AKIRI KENDRICK ALISTAHIRI KUSHINDA TUZO YA BEST RAP ALBAM,AMTUMIA UJUMBE KUMFARIJI.. Macklemore-Kendrick-Lamar-Grammy-Battle
Macklemore & Ryan Lewis usiku wa jana walishinda tuzo  4 kwenye Grammys na moja kati tuzo izi 4 ni pamoja na tuzo ya Best Rap Album kupitia albam yao ya The Heist.
Jamaa walikuwa wapo kipengere kimoja na Jay Z kupitia albam yake ya Magna Carta, Kanye Yeezus na albam ya Kendrick  good kid, m.A.A.d city


Mashabiki wengi wa Rap walipinga ushindi wa Macklemore & Ryan Lewis kupitia mitamdao ya kijamiii akiwemo rapper kutoka Tanzania WAKAZI ambaye alitweet
“I don't remember when The Grammys gave BEST RAP ALBUM or BEST RAP ARTIST to a choice that the Hood thought was Deserving!! I seriously don't”

Wengi wanasema Kendrick lamer ndie alishatairi ,licha ya kuwa na albam kali inayosifiwa na mashabiki wengi wa Rap lakini jamaa hakupata tuzo hata moja..

Sasa baada ya sherehe hizo za utoaji tuzo kumalizika Macklemore alimtumia massege Kendrick lemar kama kumfariji na kukiri kuwa Kendrick ndie alistahiri tuzo hiyo
 "umeibiwa ,nilitaka wewe ushinde ,ilitakiwa upate,inastaajabisha na mbaya kuwa mimi ndo nimekuibia ''hayo ni baadhi ya maneno yaliopo ndani ya ujumbe huo wa Macklemore kwenda kwa Kendrick
  http://www.homeboyzradio.co.ke/images/Macklemore_Text.jpg


0 comments: