Monday, January 27, 2014

MAYWEATHER AMTUMIA UJUMBE WA WAZI JUSTIN BIEBER .

http://www.inflexwetrust.com/wp-content/uploads/2014/01/IFWT_Mayweather-message-Bieber-.png

Floyd Mayweather ameonesha upendo kwa homie wake Justin Bieber baada ya hivi karibuni kukamatwa na kuachiwa kwa kosa la kuendesha gari kwa kasi huku akiwa ametumia marijuana na kilevi .   Mayweather kupitia Instagram & Twitter ameutaka ulimwengu kujua bado anampa support bieber ambaye kwa hivi sasa ameenda kuondoa stress pande za panama..

0 comments: