Thursday, January 23, 2014

YOUNG MONEY KUTOKA NA ALBAM YA PAMOJA MWAKA HUU..


Cover photo
Young Money is back. Kundi la young money linatarajia kutoa albam mpya mwaka huu‘Young Money: The Rise of an Empire,’  albam ambayo itahusisha wasanii wote kutoka Young Money kama Lil Wayne ,Drake, Nicki Minaj ,Tyga na wengine
Single ya kwanza kutoka kwenye hiyo albam inaitwa   ‘We Alright’ featuring Lil Wayne, birdman na Euro,na imeshatoka kwenye radio station kuanzia jana (Jan. 22). Euro ni msanii alie jiunga na YM hivi karibuni
Ngoma mpya ya drake ,Trophies pia itapatikana kwenye albam hiyo ambayo imetangazwa rasmi kutoka march 11

 “There’s nothing like it when the whole family gets together in the studio. YMCMB is stronger than ever, and everybody was truly on fire. We’re all blessed to be a part of this incredible Empire as it continues to thrive. I can’t wait for what’s next. Keep watching,” Wayne added.

0 comments: