Monday, January 20, 2014

KESI YA JOSE CHAMELEONE KUMPIGA KARAMAGI YAFUTWA.. Chameleone's Tubonge album launch date set
Muimbaji Jose Chameleone kutoka Uganda yupo tayari kwa ajili ya uzinduzi wa albam yake ya Tubonge , March 28 baada ya kesi iliokuwa inamkabili ya kumpiga jamaa alie julikana na kwa jina la Robert Karamagi kufutwa .


Dec 26, 2012 Robert Karamagi alidai kupigwa na jose chameleone sebureni kwake ambapo alifariki siku chache baadaye.
Kesi hiyo imekuwa ikimnyima raha jose chameleone lakini kwa taarifa zilizopo hivi sasa kesi hiyo imefutwa baada ya uchunguzi kufanyika na kuto kuonekana vielelezo vyovyote kuwa jose alihusika katika kesi hiyo.
Mwaka huu umekuwa wa kurejesha Amani kwa jose chameleone kwani amefanikiwa pia kupatana na mdogo wake Moze Radio ambaye walikuwa kwenye ugomvi kwa muda mrefu na jitiana za kupatana zilikuwa zikigonga mwamba..

0 comments: