Thursday, January 30, 2014

D'banj azindua kampeni ya kuwekeza kwenye kilimo barani afrika...Kokomaster D’banj week hii yupo nchini Ethiopia Addis Ababa  kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni ya kuwekeza kwenye kilimo ,uzinduzi unaofanyika wakati kongamano la nchi za umoja wa mataifa ya afrika likiendelea nchini humo ..

Mwezi February D banj ataongoza wasanii wakubwa kutoka bara la Africa kurecord wimbo na produer mkubwa nchini Nigeria Cobhams Asuquo na  watatoa audio na video lengo likiwa ku-promote kilimo miongoni mwa vijana wa bara la afrika ..
 
Na ukumbuke pia hivi karibuni D’banj alitangaza kuanza kuwekeza katika kilimo  ikiwa ni sehemu ya kufanya kampen hiyo kwa vitendo..

0 comments: