Sunday, January 26, 2014

Wezi wa kwenye mtandao wame-hack facebook account ya msanii Bonge La Nyau na kuandika Diamond platnam amdiss AliKiba kwenye MEDIA..Msanii bonge la Nyau amekana kumiliki account ya facebook ambayo imeandika habari ya kuwa diamond amemdiss alikiba wakati akifanya interview na kituo cha chanel ten,bonge la nyau amesema ni kweli account hiyo ilikuwa ya kwake lakini hivi sasa kuna mtu amei-hack..

“ni kwa mbie kitu mwanangu Yule sio mimi ilikuaga account yangu ,kuna mtu amei-hack ameichukua ameichange password kwa hiyo anaimiliki yeye na ata ukiiangalia kwa makini yule jamaa nia yake anataka kutapeli watu kwa sababu mwisho wa ile status anaweka mambo ya mikopo sijui  nini siunajua”

Status ambayo imekuwa gumzo kwenye mtandao wa Facebook na kupelekea swahiliINfo.blogspot.com kumtafuta Bonge la nyau ilikuwa inasomeka hivi
“DIAMOND TAKE CARE WACHAKASHFA
Guys hivi huyu domo Diamond anamtaka kitu gani msanii Alikiba? Tokea juzi amekua akimzungumzia katika Media kwa mliofatilia Interview yake baada ya kusamehewa na kituo cha Channel Ten jana usiku aliropoka maneno haya kuhusu Ali Kiba Diamond: "Unajua kuna watuhawataki kukubali kama mimi ni zaidi yao kuanzia muziki wangu mpaka maisha yangu, mtu anaulizwa Twitter hivi mkiamua kufanya nyimbo moja na Diamond hamuoni kama itapendeza sana et,anajibu never ever haiwezi kutokea mimi kuimba na Diamond. Badala angekubali apate Kick nimrudishe katika muziki analeta dharau wakati hanipati kimuziki mpakakipesa. Muziki wake hauna tena soko istoshe nasikia asahivi amejiunga na mfuko mpya wakutoa mikopo PRIDE unaitwa FAIDIKA NA PRIDE kakopeshwakajenga nyumba. Sitaki kua mnafiki namuweka wazi ni Ali kiba"Duh asa Diamond kwani mtukujiunga PRIDE akakopeshwa ndio tatizo? Kuna matajiri kibao mjini humu wanamaisha mazuri kwa ajili ya mikopo. Zote chuki @ Diamond kama nawewe unataka mkopo si ukajiunge? Sio kumpigamajungu mwenzako, watu kibao tumejiunga na mikopo tumepata ndo inayotusaidia, kama nawewe unataka jiunge na PRIDE tena
usisumbuke bofya hapa: http://
pride-tanzania.wapka.mobi
ukajiunge utapatiwa mkopo sio
kumpiga vita mwenzako.
http://pride-
tanzania.wapka.mobi/
pride-tanzania.wapka.mobi ...TATHMINI YAKO MDAU KWA WASANII HAWA WA BONGO FLAVA.

Bonge la nyau amesema jamaa anamiliki account hiyo kwa miezi mitatu hivi sasa tangu mwezi wa kumi mwaka jana ,bonge la nyau anasema account anaoitumia facebook ni ile yenye picha ambayo yupo na bob jounior…

0 comments: