Wednesday, January 15, 2014

HIPHOP LEGEND ,NAS ESCO MWEZI WA PILI ANATOA ALBAM MPYA..Baada ya jarida la The Source kuweka albam ya Nas katika list ya albam 30 zinazosubiliwa kutoka mwaka 2014  (The 30 Most Anticipated Albams of 2014).Nas ameibuka kupitia Twitter na kusema albam yake ya 11 itatoka rasmi mwezi ujao

 

 “Eh-um.... Dropping next album title next month’.Hiyo ndo tweet ya nas alio post baada ya kutoka list ya The Source .

Albam ya mwisho kuitoa NaS ‘Life is Good’ aliitoa mwaka jana mwezi april .

0 comments: