Wednesday, April 30, 2014

Video: Angalia video ya Profesa Jay akihojiwa na Fredwaa katika kipindi cha Sun Rise cha Times Fm

0 comments
 Video: Angalia video ya Profesa Jay akihojiwa na Fredwaa katika kipindi cha Sun Rise cha Times Fm 
Profesa Jay alikuwa mgeni katika kipindi cha Sun Rise cha 100.5 Times Fm Ijumaa iliyopita ikiwa ni Exclusive Friday ambapo alifanya mahojiano na Fred Fidelis maarufu kama Fredwaa.

KTMA: Leo ni mwisho wa upigaji kura

0 comments

KTMA: Leo ni mwisho wa upigaji kura

Leo (April 30) mlango wa kuwapigia kura wasanii wanaowania tuzo katika vipengele mbalimbali vya Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014 unafungwa rasmi.
Mashabiki wanaweza kusaidia kuwapa nafasi zaidi wasanii wanaowapenda au nyimbo wanazozikubali zaidi na wanapenda zichukue tuzo mwaka huu katika vipengele husika.

Mastar waanza kuonesha nia ya kununu timu ya LA Clippers baada ya mmiliki wake kufungiwa..

0 comments
Diddy, Floyd Mayweather & More Want To Buy The Clippers


Baada ya shirikisho la mpira wa kikapu nchini marekani NBA kumfungia maisha mmiliki wa timu ya LA Clippers Donald sterling kufuatia kupatikana na hatia ya ubaguzi,watu maarufu wameonesha nia ya kuinunua timu hiyo akiwemo Rapper na mfanyabiashara Diddy.

Kanye West na Kim Kardashian kufunga ndoa wiki hii.

0 comments

http://www.manrepeller.com/wp-content/uploads/2014/03/nydaily-news.jpg


Kanye West and Kim Kardashian wako tayari kufanya mahusiano yao kuwa rasmi kabla ya wiki hii kuisha wanatajia kufunga ndoa ya serikali.

Kwamujibu wa mtandao wa TMZ wawili hao wamepanga kufunga ndoa ya kisheria wiki hii kimya kimya bila ya kuwa na watu wengi.

Tuesday, April 29, 2014

audio:Teaser ya wimbo mpya wa Mike -Ahadi

0 comments
Lukindo 

NU JOINT :DJ Khaled feat Jay Z, Meek Mill, Rick Ross, & French Montana – ‘They Don’t Love You No More’

0 comments
They Don't Love You No More

Shavu: Wema Sepetu aitangaza huduma ya internet ya Airtel

0 comments
Shavu: Wema Sepetu aitangaza huduma ya internet ya Airtel
Makampuni ya simu yameendelea kuwapa Neema wasanii wa mbalimbali wa Tanzania, na wakati huu ni neema imemuangukia Wema Abram Sepetu.

Tanzia:mtengenezaji mkongwe wa filamu nchini Nigeria afariki dunia..

0 comments

 Amaka Igwe (3)

Mtengenezaji mkongwe wa filamu kutoka Nollywood  Nigeria  Amaka Igwe amefariki dunia kutokana na shambulio la asthma akiwa na umri wa miaka 51.

Taarifa kutoka kwa msemaji wa kampuni yake ya Amaka Igwe studios inasema mwanamama huyo alifariki wakati akikimbizwa hospital baada ya kuzidi.

Dj Khalid atangaza kufanya collabo na Jay Z

0 comments
Jay Z and DJ Khaled

DJ Khaled amesha fanya nyimbo na wasanii wakubwa kama Kanye West, Lil Wayne, na  Drake, na sasa amejipanga kufanya collabo kubwa na Rapper Jay Z kwenye ngoma alioipa jina la “They Don’t Love You No More,”itakayo kuepo kwenye albam yake ijayo.
 “ nifuraha kufanya kazi na Jay Z kwenye albam yangu mpya ,nimefanya kazi kubwa mpka kufikia hapa’ amesema Dj Khalid ambaye anajianga kutoka na albam yake ya nane

Wednesday, April 23, 2014

Soma alichokisema mke wa Peter Okoye ,baada ya ugomvi wa P-Square

0 comments
PSQUARE

Wiki hii kumekuwa na  taarifa za ugomvi wa mapacha wanao unda kundi la P-Square na ikisemekana wanataka kugawana mali ili kila mmoja ajitegemee ,huku mke wa Peter akitajwa kuwa chanzo cha ugomvi huo ..

Thursday, April 17, 2014

Wizkid na Waje wamtimua manager wao Godwin Tom.

0 comments
godwin tom sacked wizkid

Wasanii wanaofanya vizuri hivi sasa kutoka Nigeria  Wizkid na Waje wote kwa pamoja wamemfukuza manager wao Godwin Tom kwa kile kinachoelezwa kuwa wametofautina katika kazi.

Tiwa Savage kama Kim K apunguza mwili kutengeneza muonekano..

0 comments

tiwa savage wedding

Mwimbaji kutoka Nigeria Tiwa savage amepunguza mwili kwa lengo la kuwa na muonekano mzuri kwenye sherehe ya ndoa yake itakayo fanyika wiki ijao (april 26 )dubai. 

Tuesday, April 15, 2014

Kim Kardashian kuanza kulala ndani ya 'kivazi maalumu' ili kutengeneza umbo kwa ajili ya ndoa yake

0 comments
Kim Kardashian in November, 2013

Mrembo wa kipindi maarufu cha kuonesha maisha halisi The ‘Keeping Up With The Kardashians‘ Kim Kardashian ameanza kujiandaa kwa ajili ya ndoa yake na Kanye ambapo anatarajia kuanza kulala akiwa amevalia ‘kivazi maalamu’cha kutengeneza muonekano mzuri wa umbo lake ..

Msanii wa Nigeria ‘Tamiya’ asema elimu sio muhimu kwake!

0 comments
timaya

Mwimbaji wa Nigeria Timaya ingawa amekiri kuwa elimu ni ufungua wa maisha bora, anaamini Elimu hiyo haipo kwa ajili yake.

Tuesday, April 01, 2014

) Chris brown atuma ujumbe kwa mashabiki wake akiwa jela..

0 comments
Karrueche Tran
Pamoja ya kuwa yupo jela chris brown amewakumbuka mashabiki wake kupitia ujumbe wa sauti alimtumia girlfriand wake ambaye huachana na kurudiana Karrueche Tran
Karruechi aliu-play ujumbee huo mbele ya video camera huk akitabasamu kwa ajili ya mashabiki wa chris brown #teamBreezy ambaye yupo jela kwa mwezi mmoja kwa kosa la kukiuka kifungo cha nje