Tuesday, April 01, 2014

) Chris brown atuma ujumbe kwa mashabiki wake akiwa jela..

Karrueche Tran
Pamoja ya kuwa yupo jela chris brown amewakumbuka mashabiki wake kupitia ujumbe wa sauti alimtumia girlfriand wake ambaye huachana na kurudiana Karrueche Tran
Karruechi aliu-play ujumbee huo mbele ya video camera huk akitabasamu kwa ajili ya mashabiki wa chris brown #teamBreezy ambaye yupo jela kwa mwezi mmoja kwa kosa la kukiuka kifungo cha nje “ Niwapigia mashabiki wangu wote ,kuwajulisha nawapenda wote ,nashukuru kwa kuendelea kuni support ,asante kwa kila kitu,video imeshatoka naamini kila mmoja ameifurahia "amesikika breezy akimalizia kwa kusema “And most importantly, K, Karrueche, I love you,”
Chris brown anavideo iliotoka hivi karibuni “Loyal” akiwa na Lil Wayne na Tyga na mpaka sasa tangu imetoka March 24. imesha tizamwa na watu  12  million kupitia YouTube .

0 comments: