Monday, March 31, 2014

Rapper Ice Prince asaini na kampuni kubwa ya kutangaza muziki duniani (Universal Music Group )


 


Mkali kutoka Label ya Chocolate City Panchak Zamani, AkA Ice Prince, amesaini mkataba na kampuni kubwa ya kusambazi kaz za wasanii duniani  Universal Music Group.

Rapper huyo wa albam ya  ‘Fire of Zamani’amesema makubaliano tayari yamesa fanyika kilicho baki ni kutangwa rasmi ,akipanya mahojiano na Pulse Ice Prince amesema ''nimeingia mkataba  Universal Music Group ,bado hawajanitangaza rasmi ,wanaanza na wimbo wa  ‘I Swear’ track, ambao umepewa kibali UK na kisha nyimbo zingine zitafuata..dili hiyo itamsaidia Ice Prince kuongeza mashabiki kimataifa kupitia kazi zake kuonekana katika vyombo vikubwa vya habari
November mwaka jana Ice Prince alisaini dili na mtandao wa simu ,Etisalat, inadaiwa alivuta pesa ya naijeria  naira million 20

Universal Music Group ni kampuni ya kusambaza muziki kubwa duniani kazi zake inafanyia marekani  na inamilikiwa na raia wa  u faransa

0 comments: