Thursday, March 20, 2014

Muimbaji wa wimbo wa "Kuch Kuch "Jodie Odiete asema hajawahi kufanya mapenzi (bikra)


J'odie, Photo: Jaguda.com


Katika interview alio ifanya hivi karibuni mkali huyo wa single ya Kuch Kuch Jodie aliambiwa atoe mtizamo wake kuhusu watu waliopo kwenye mahusiano ya ngono .


"binafsi naona sio sahihi kwasababu sijaolewa ,siwahukumu wanaofanya hivyo ,lakini hayo ni mawazo yangu binafsi .siwezi wezi kuwa na mawazo kuhusu ngono kwasababu sijawahi kufanya  .ngono haina maana kwangu ,kwahiyo siwezi kuingia kwenye mahusiano kwa sababu ya hilo,amesema Jodie
kuhusu aina ya mwanaume anae muitaji Jodie amesema anataka  mwanaume atakae kuwa rafiki yeke wakati wote..


0 comments: