Thursday, March 27, 2014

Jose Chameleone Amechaguliwa kuwa balozi wa utalii nchini Uganda...

spika wa bunge la uganda mheshimiwa Rebecca Kadaga amemchagua Jose Chameleone kuwa balozi wa mashindano ya kupanda miamba ya  Kagulu (Kagulu Hill Rock climbing challenge 2014)

Chameleone ambaye amepewa jina la 'Ngobi' na spika huyo atatangaza vivutio zaidi ya 40 vilivyopo katika mkoa wa Busoga nchini Uganda. spika huyo anaamini  Chameleone kwa kutumia msuri wa musiki wake atafanya vyema katika kazi hiyo..

mashindano hayo ya kuutangaza utalii wa Busoga yatafanyika may 9 mpaka 10 May, 2014. ambapo wakubwa kwa watoto watashindana kupanda miamba ya  Kagulu ..0 comments: