Thursday, March 13, 2014

Birthday party ya Robin Thicke ilifanyika bila kuepo jinsia ya kike


Jumatatu march 10, Robin Thicke alikuwa anasherehekea kutimiza miaka 37 na alifanya party katika nightclub moja jijini los Angeles Marekani na kuhudhuriwa na rafiki zake akiwemo Leonardo DiCaprio, lakini hakuna msichana alie ruhusiwa kuingia kwenye part hiyo.

Tukio hilo limetafsiriwa kuwa ni njia anayoitumia Robin ili arudiane na mkewe Paula Patton alieshi nae kwa miaka 8 na kupata mtoto wakiume Julian,ambapo inasemeka Paula amemwambia Robin athibitishe kweli anaitaji ndoa yao iendelee
Paula alidai talaka baada ya kukosa furaha ya ndoa kufuatia Robin kuoneka yupo karibu na wanawake wengine..


0 comments: