Tuesday, March 18, 2014

Iyanya azindua mradi wa kusaidia yatima,naye amepoteza wazazi wake wote..

Iyanya is set to launch a foundation for Orphans and the less privileged. ||Photo: Instagram
Msanii kutoka Nigeria Iyanya Mbuk, ametangaza kuzindua mradi wa kusaidia watoto yatima na watu wano ishi kwenye mazingira magumu kupitia  ’The Iyanya Foundation’.


Iyanya ambaye pia ni yatima amesema anamatumaini ya kutumia NGO hiyo (The Iyanya Foundation) kusaidia yatima waliko nchini Nigeria kutengeneza maisha mazuri.


Iyanya kupitia Instagram aliandika 'mimi ni mmoja ya mayatima wachache nilie pata nafasi ya kuwa na ushawishi mkubwa kupitia musiki  na MTN ilipa mwanzo mzuri kupitia  Project Fame. sio kila mvulana au msichana kutoka mtaani leo hii anaweza kupata bahati kama Iyanya. kupitia hii Foundation lengo  ni kusaidia yatima wengi.
Iyanya amepoteza wazazi wake wote na kaka yake qwa pekee na amechora tottoo kifuani kutokana na kupoteza familia yake .

0 comments: