Thursday, March 06, 2014

Rapper kutoka Ghana Sarkodie aelezea kwanini hakujiunga na Konvict music na mipango ya kukutana na Roc Nation..


 sarkodie

kipindi fulani wakati akon alienda ghana kwa mara ya kwanza ,habari zilieneaa kuwa amemsaini rapper kutoka nchini humo Sarkodie baada ya kuonekana vipande vya video vinavilivyo waonesha wakipiga story ,lakini akon alipo rudi ghana kwa mara ya pili mwaka jana akakanusha uvumi huo

sasa kwa mara ya kwanza Sarkodie amezungumzia inshu hiyo na kusema hakuwa na uhakika asilimia 100 kama konvict music ilitaka kumsaini lakini haoni kama angeenda sawa na mipango yake kama angekuwa konvict kwasababu label inabana sana unaweza kukaa miaka miwili bila kutoa wimbo

kwa mujibu wa Sarkodie anasema amezaliwa kiongozi hivyo anataka kuhusika katika kuongoza kazi zake

soekodie pia amezunguzia mipango ya kukutana na watu label ya jay z ,Roc Nation ,sorkodia amesema Roc Nation wanamueshimu baada ya kuona wingi wa mashabiki alionao kupitia twetter na youtube..
 
 

0 comments: