Wednesday, March 05, 2014

Mwanasoka Mikel Obi aingia kwenye tasnia ya filamu ,kufanya movie na Genevieve Nnaji..


Genevieve Nnaji and Mikel Obi

Mwanasoka Mikel Obi aingia kwenye tasnia ya filamu ,kufanya movie na  Genevieve Nnaji
Habari hizi zimekuja siku chache baada ya mwanasoka Mikel Obi anaechezea Chelsea na muigizaji huyo wa Nollywood kuonekana katika picha wakisafiri kwa ndege binafsi kwenda south afrika.


Report zinasema movie hiyo ambayo itakuwa ya kwanza kwa  Mikel Obi inaitwa  ‘’The Journey’’inazungumzia safari ya maisha yao mpaka kupata mafanikio ,ni wapi walianzia ,changamoto walizo pitia mpaka hapo  walipo hivi sasa  
Movie hiyo inadhaminiwa na Amstel Malta,na itarushwa kwa mara ya kwanza kupitia  Africa Magic Viewers’ Choice Awards  March 8.

0 comments: