Friday, March 07, 2014

Nazizi achana na mumewe..


 http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/03/Naziz.jpg
baada ya kufunga ndoa ya sheria ya kiislam mwaka 2008 Nazizi na mumewe Vini Hamsa Leopold wameamuwa kuachana .


hii ni baada ya majadiliano ya mwaka mmoja na nusu hatimaye pande zote wamekubaliana ni vema kutengana na kushirikiana kumlea mtoto waliompata pamoja ,na kutakuwa hakuna ubaya kati yao ,na tayari mchakato wa kupeana taraka kisheria umekwisha anza

Nazizi amekanusha fununu zilizo enea kuwa ameamua kuachana na mumewe ili wagawane utajiri alio nao mumewe kwa kusema" kilicho chake ni chake na kilicho changu ni changu"

0 comments: