Wednesday, March 19, 2014

mwanamitindo aliedaiwa kubomoa mahusano ya washiriki wa BBA Elikem na Pokello akanusha kuwa na ujauzizo

ELIKEM Theresa
Wiki iliopita kuliwepo  taarifa kuwa washiriki wa Big Brother Afrika (The chase )Elikem na Pokello ambao ni wapenzi wa muda mrefu wameachana sababu ikiwa ni  Elikem kumpa mimba mwanamitindo Theresa Boateng (Onnen), sasa mwanamitindo huyo amekanusha taarifa hizo na kuelezea jinsi gani alikutana na Elikem.


Theresa Boateng (Onnen )ambaye ametoka ujerumani mwezi uliopita kwajili ya kutangaza biashara yake ya nguo nchini Ghana amesema mahusianano yake na Elikem yanahusisha biashara.

“Sina mimba "amesema wanamitindo huyo ambaye anadai alikutana na wote wawili Elikem na Pokello wiki kadhaa zilizo pita kwa ajili ya kuzindua yake biashara  ya nguo nchini Ghana ..
Kwa upande wa Elikem katika Interview iliofanya hivi karibuni amekiri kumfahamu Theresa Boateng kupitia mahusiano ya biashara .
nakuhusu picha zilizoonekana kwenye akaunti ya facebook ya Theresa Boateng wakiwa karibu  ,Elikem amesema
“kuna mtu anacontrol akaunti ya facebook ya Theresa ndiye aliweka picha na kusema ‘Elikem is my baby’ kwasababu tulipiga picha kadhaa pamoja .


0 comments: