Thursday, March 20, 2014

Muigizaji Lindsay Lohan ameorodhesha majina 36 ya wanaume maarufu alio wahi kulala nao, yupo Justin Timberlake na Adam Lavine.

http://piccolor.com/wp-content/uploads/2014/01/Lindsay-Lohan-2013-Photoshoot-Background-HD-Wallpaper-1080x607.jpg
Lindsay (27)akiwa na rafiki zake katika hotel ya  Beverly Hills January 30 2013 pande za LA walikuwa wakizungumza kuhusu wanaume na mapenzi ,ndipo alipo amua kuchukua peni na kuandika kwa mkono wake majina  ya wanaume maarufu alio lala nao na alipo maliza akaisahau karatasi hiyo hotelini ..


http://2.bp.blogspot.com/-rrygS8XITLc/UymocsCKq4I/AAAAAAACqJE/5VsyLzPOKpw/s1600/article-2583771-1C65229500000578-618_634x436.jpg
Hi ndo orodha a majina ya wanaume maarufu anaodai aliwahi kulala nao
Justin Timberlake, Orlando Bloom, Ashton Kutcher, Ryan Phillippe, Benicio Del Toro, Adam Levine, Zac Efron, Joaquin Phoenix, Colin Farrell, James Franco, Wilmer Valderrama, Stavros Niarchos, Danny Cipriani, Josh Mond,Max Geoge

0 comments: