Wednesday, March 05, 2014

Manager wa D'banj athibitisha kuwa D'banj bado yupo G.O.O.D music ya Kanye west..

D’banj is still with kanye West

Week iliyopita blogs  nyingi ziliziliandika kuwa ushirikiano kati ya  Kanye and D’Banj haupo tena na kanye na faaida alioipata D banj baada ya kujiunga na label ya Kanye west G.O.OD Music ni Kanye kutokea kwenye video yake ya Oliver Twist na kufanya verse kwenye wimbo wa Scapegoat remix na d banj kuonekana kwa dakika zisizo fika tatu kwenye video ya  Mercy .

 kwa tafsiri ya haraka wengi walizani D banj hayupo tena G.O.OD MUSIC


Manager wa D’Banj, Tony Nwakolor amesemahabari hizo hazina ukweli D’Banj bado anafanya kazi na  Kanye.

“It is a lie that D’banj has left G.O.O.D music. He changed his bio on his twitter account and people started forming all sorts of story. He is still with Kanye West.”

0 comments: