Thursday, March 27, 2014

Kanye kumualika Mary J Blige kutumbuiza wimbo wa 'Everything' maalum kwa Kim katika ndoa yao...

Kim Kardashian and Kanye. Photo: Filed
Kanye West  ambaye anatarajia kumuoa Kim Kardashian hivi karibuni nchini ufaransa amepanga kumshawishi muimbaji wa R&B Mary J. Blige kutumbuiza wimbo maarufu wa mwaka  1997 ‘Everything 'katika harusi yao

Chanzo cha habari kimeuambia mtandao wa HollywoodLife.com kuwa wimbo wa  ‘Everything‘ unamaana kubwa katika mapenzi yao,inadaiwa Kanye aliupiga huo wimbo kwa mara ya kwanza alipokutana na Kim  na amekuwa akiucheza kwa ajili yake mara kwa mara.
Kim, 33, na Kanye, 36,ambao mwana mtoto wa miezi nane  "North" wameuza haki za picha za ndoa yao katika television ya E hivyo waalikwa wote hawataruhusiwa kuingia na simu ili kuzuia upigaji picha ..


0 comments: