Wednesday, March 26, 2014

baada ya "Mastermind." kukamata namba 1 Rick ross awanunulia saa za gharama wasanii walioshiriki kwenye albam hiyo..

03-24-14-rick-ross-watches-tmzRick Ross amethibitisha kuwa yeye ni boss baada ya albam yake kukamata nafasi ya kwanza kwenye charts amewanunulia saa za gharama baadhi ya wasanii aliowashirikisha kwenye albam hiyo ikiwa ni sehemu ya kusherehekea ..


Unaambiwa Rick ross alizichagua mwenyewe hizo saa ,wasanii walipata saa hizo ni pamoja DJ Khaled, Meek Mill and Wale.


0 comments: