Tuesday, October 29, 2013

video:CHRIS BROWN ATOKA JELA..

0 comments
Chris Brown ameachiwa huru baada ya kuonekana hana hatia kufuatia tukio lilotokea jumapili oct 27 pande za  Washington, D.C.
C breaze na bodygued wake walitiwa hatiani kwa madai ya kumpiga ngumi shabiki na kumsabanishia mpasuko ndani ya pua
Katika utetezi wake chris Brown amesema hakumpiga huyo jamaa ila akiwa kwenye tour bus jamaa wakati akitaka nayeye kupanda nipo bodyguard  wake alipo fanya kazi yake
Chris Brown ametakiwa kukaa umbali wa mita 10 na jamaa aliedai kushambiliwa katika tukio hilo
Kama c brown angepatikana na hatia angeweza kwenda jela miaka mine kwa kuwa bado yupo kwenye probation kutokana na kosa la kumpiga rihana mwaka 2009
TIZAMA VIDEO INAYOMUONESHA CHRIS BROWN AKITOKA JELA

Monday, October 28, 2013

BBC SWAHILI:Polisi wavamia kituo cha redio Somalia

0 comments


Polisi nchini Somalia walivamia makao makuu ya kituo cha redio cha Shabelle, na kukilazimisha kufunga matangazo yake mnamo siku Jumamosi.
Maafisa wakuu wanasema kuwa wanadhibiti jengo hilo ambalo lilikuwa linamilikiwa na serikali miaka ya nyuma.

CHRIS BROWN AKAMATWA !

0 comments

20131027-132758.jpg


Habari zilizo enea kwanye mitandao hivi sasa, chris brown na bodyguard wake wanashikiliwa na police baada ya ugomvi ulio tokea nje ya hotel W mwishoni mwa wiki pande za Washington, DC .
Vyonzo vya habari vinasema ugomvi huo ulitokea wakati chris brown akipiga picha na wasichana wawili nje ya hotel ndipo jamaa mmoja akiwa na washikaji zake walipo jisogeza ili watokelezee kwenye picha ,kitendo ambacho inaonekana hakikumfurahisha C breaze na kuamua  kumpiga jamaa ngumi ya uso na kumpasua pua.

Lady Gaga abaki uchi wa mnyama jukwaani..

0 comments
gaga-6
Msanii ambaye haishi vituko mara kwa mara Lady Gaga ameingia kwenye headlines za vyombo vya habari kwa mara nyingine tena baada ya kuvua nguo jukwaani na kubaki uchi wa mnyama katika show aliofanya Londan uingereza ijumaa iliopita.

Tuesday, October 22, 2013

Kwa mara ya kwanza Rapper Ja Rule amezungumzia maisha yake akiwa jala ...

0 comments


Mwaka  2007 Ja Rule alipatikana na hatia ya kutumia silaha kinyume na sheria akajikuta akienda jela kwa miaka miwili na kutoka mwezi wa tano mwaka huu.

Katika interview alioifanya na mtandao wa TMZ Ja Rule ukiacha vitu vyote alivyopitia jela sawa la chakula halikuwa tatizo ..

 "It's not too good," said Ja, before adding, "You get packages and stuff like that. You can eat decent enough. I ate everything. In jail we was pretty crafty. We made lasagna, we made cheesecakes."

Amesema chakula hakikuwa kizuri sana hivyo walikuwa wakijipikia aina tofauti za vyakula ..


kanye amvisha pete ya uchumba KIM KARDASHIAN ..

0 comments
Hatimaye Kanye West amvisha pete ya uchumba mpenzi wake  Kim Kardashian jana (jumatatu) tarehe 21 wakati akisherehekea siku yake ya kuzaliwa..

Sunday, October 20, 2013

Are Ciara and Future Expecting a Baby?

0 comments

 Future Ciara
It’s no secret that Ciara and Future are madly in love with each other. They even have matching tattoos on their hands to prove their commitment. Now comes word that the couple may soon be expecting a baby.
The gossip blogs are spreading pregnancy rumors following Ciara’s performance at the 9th Annual Paper Magazine Nightlife Awards.

Tuesday, October 15, 2013

VIDEO:Tyga amkaribisha Game YMCMB..

0 comments

Tyga amemkaribisha Game ndani ya Cash Money Records kama member mpya wa group hiyo katika concert aliofanya pande za  California .
Game amechukua headlines  za kutosha last week baada ya kutangazwa ku sign Cash Money Records na kujiunga na wakali kama Drake na Lil Wyne.
Tyga akiwa on stage pande za California alimpongeza game kujiunga na YMCMB na kisha kumvisha chein ambayo ina lebo ya Cash money.

"I drove two hours to let everybody know that Game is signed to Cash Money Records," amesikika Tyga akisema katika video clip ambayo imewekwa youtube huku ikimuonesha  akimvisha chain game..

Sunday, October 13, 2013

Peter Okoye atoa somo la ujasiliamali..

0 comments


peter_lect2

Member wa Psquare Peter Okoye anakitu kingine cha ziada tofauti na kuimba ,
Hilo limebainika baada October 10 kualikwa na Central Bank ya nchini Nigeria kwa ajili ya kutoa semina ya maswala ya ujasiliamani kwa wafanya kazi wapya wa Bank hiyo.
 peter_lect4
Peter aliwapa moyo wafanya kazi hao wapya pamoja na kuwasimulia story za mafanikio yao kama Psquare na jinsi gani wameweza kutunza mapato yao..
Peter Okoye anatarajia kufunga ndoa na girlfriend wake Lola Omotayo...

Wednesday, October 02, 2013

Young Buck atoka jela..

0 comments


Hatimaye Rapper wa zamani wa G-Unity Young Buck  ametoka jela baada ya kuwa kifungoni kwa jumla miezi 18 kwa  kosa la kutumia silaha kinyme na sheria
Young Buck ametumia akaunti yake ya twetter kuweka wazi kuwa yupo huru hivi sasa '' The Real Young Buck ''I'm officially a free man!!!''