Sunday, October 13, 2013

Peter Okoye atoa somo la ujasiliamali..peter_lect2

Member wa Psquare Peter Okoye anakitu kingine cha ziada tofauti na kuimba ,
Hilo limebainika baada October 10 kualikwa na Central Bank ya nchini Nigeria kwa ajili ya kutoa semina ya maswala ya ujasiliamani kwa wafanya kazi wapya wa Bank hiyo.
 peter_lect4
Peter aliwapa moyo wafanya kazi hao wapya pamoja na kuwasimulia story za mafanikio yao kama Psquare na jinsi gani wameweza kutunza mapato yao..
Peter Okoye anatarajia kufunga ndoa na girlfriend wake Lola Omotayo...

0 comments: