Tuesday, October 29, 2013

video:CHRIS BROWN ATOKA JELA..

Chris Brown ameachiwa huru baada ya kuonekana hana hatia kufuatia tukio lilotokea jumapili oct 27 pande za  Washington, D.C.
C breaze na bodygued wake walitiwa hatiani kwa madai ya kumpiga ngumi shabiki na kumsabanishia mpasuko ndani ya pua
Katika utetezi wake chris Brown amesema hakumpiga huyo jamaa ila akiwa kwenye tour bus jamaa wakati akitaka nayeye kupanda nipo bodyguard  wake alipo fanya kazi yake
Chris Brown ametakiwa kukaa umbali wa mita 10 na jamaa aliedai kushambiliwa katika tukio hilo
Kama c brown angepatikana na hatia angeweza kwenda jela miaka mine kwa kuwa bado yupo kwenye probation kutokana na kosa la kumpiga rihana mwaka 2009
TIZAMA VIDEO INAYOMUONESHA CHRIS BROWN AKITOKA JELA

0 comments: