Tuesday, November 05, 2013

DRAKE APIGA MNADA NYUMBA YAKE..

Drake

Mkali wa Hold on we’re going home drake ametangaza kuuza (condo )apartment yake iliopo kwao Toronto Canada kwa kiasi cha dola  milion $3.75 ,

Apartiment hiyo inadaiwa kuwa na vitu vya dhamani kuanzia furniture na kuna  private elevator , valet and guest parking, indoor pool, exercise room, party room, vyumba vya wageni na sehemu ya kuoshea magari car wash .

 Drake


Mkali wa Hold on we’re going home drake ametangaza kuuza (condo )apartment yake iliopo kwao Toronto Canada kwa kiasi cha dola  milion $3.75 ,Drake

 Drake
Drake

0 comments: