Wednesday, November 27, 2013

movie aliofanya NAS na tyrese Black Nativity itawashtua fans wengi wa movie..


 
Wakongwe wawili katika music Nas na Tyrese wakuja na Movie Black Nativity ambayo imeingia rasmi kwenye stores leo Nov 27
Movie hiyo imewashirikisha wakali wengine katika music kama Jennifer Hudson na Mary J Blige.

 
Tyrese akizungumzia movie hiyo amesema itawashtua wengi kwa kua inatoa siri ya mambo mengi yanayo fanyika ndani ya familia nyingi.
Hii ni movie inayohusisha uimbaji pia ndani yake ,tazama trailer
0 comments: