Monday, November 11, 2013

Miley Cyrus Ameonekana akivuta Marijuana On Stage pande za Amsterdam Uholanzi..


miley cyrus smoking marijuana weed

Miley Cyrus amekuwa na umaarufu mwenye utata tangu alipo anza kupata fans wa muziki duniani kote
Picha zilizoenea kwenye mitandao zinamuonesha muimbaji huyo wa miaka 20 akiwasha kitu kilichozaniwa ni bangi wakati wa utoaji wa tuzo za MTV Europe Music siku ya jumapili.

Miley Cyrus alishinda tuzo ya video of the year kupitia wimbo wake wa Wrecking Ball ,kitu kilicho washangaza wengi ni pale bidada huyo alipanda kuchukua tuzo ghafra akawasha bangi lakini kipande hicho kikafutwa kwenye matangazo ya TV licha ya kuwa nchini uholanzi ni ruksa kuvuta bangi na imekuwa ikiuzwa wazi wazi kwenye migahawa na sehemu zingine.
.
Miley Cyrus amekuwa kihusishwa na kujiunga na Illuminati …

0 comments: