Friday, November 22, 2013

Davido asherehekea bday yake kwa kutoa msaada kwa jamiii(photo)


Msanii kutoka Nigeria  Davido jana nov 21 alisherehekea siku yake ya kuzaliwa kitofauti baada ya kuamua kwenda kutoa msaada kwa jamii.

 16
Jamaa aliamua kwenda kutoa msaada wa vitu vya kusomea katika shule ya msingi ,Ikeja Government Primary School .
 1_001
Baada ya hapo akatembelea The Heart of Gold Children's Hospital na kutoa msaada wa chakula
 11

0 comments: