Monday, November 11, 2013

The Game amefafanua maana ya picha ya kutengeneza (photoshopped photo) ilionekana akiwa na 2pac..


The Game  mapema week iliopita alipost picha Instagram akiwa na  Tupac,lakini haikuchukua muda ikafamika ni picha ya kutengeneza ,ishu hii ilifanya fans wake wafiria kuwa rapper huyo kutoka  Compton anataka kuwadanganya kuwa  alishakutanana na 2 pac kabla ya kifo chake . 

Sasa  Game amezungumza na kusema hakuwa na lengo la kuwadanganya fans wake kama alishawa kukutana na 2pac ,bali ilikuwa ni namna ya kuonesha heshima kwa mkali huyo wa hiphop, na kikubwa zaidi hiyo picha ilitumwa na shabiki..

Hii hapa chini ndo picha original

.

0 comments: