Friday, November 22, 2013

Peter Msechu akanusha kuudiss wimbo wa Ney wa Mitego"nakula ujana"


clip_image002[12]
 baada ya peter msechu kupost ujumbe huo hapo chini kwenye instragam na kisha kutafsiliwa kama ni diss ya wimbo mpya wa Ney wa Mitego NAKULA UJANA ,na kupelekea blog nyingi nchini Tanzania kuandika habari hii kwa vichwa vya habari vilivyosomeka "Peter Msechu Audiss mwimbo mpya wa Ney wa mitego

clip_image002
 Sasa Peter mchechu amekanusha habari hizo kupitia twitter na kusema yeye na Ney wamekuwa wakiishi kwa utani wala haikuwa ni diss

------@msechu ney is my bro sijamdiss..mi na ney always tunaishi maisha ya utani n thts us">IELEWEKE


WITO KWA BLOGGERS WETU WA KIBONGO... JARIBUNI KUWA WATAFITI KABLA YA KUHARISHA KWENYE BLOG ZENU. SCREEN CAPTURE NI KUHARIBU KAZI ZENU

0 comments: