Monday, November 18, 2013

Dokta John (wagosi wa kaya) afiwa na mke wake.habari ambazo mtandao huu umezipata Dakta John wa wagosi wa kaya amefiwa na mke wake Josephine mwishoni mwa week iliopita mkoani Tanga..
Rapper Roma kutoka Tanga alimpa pole Dokta John kupitia Twitter

sababu za kifo cha cha mke wa docta john hakijajulikana ,SwahiliInfo.blogspot.com tunatoa pole kwa familia nzima ya Docter john

0 comments: