Sunday, November 24, 2013

Tiwa savage afunga ndoa .


tiwa savage wedding pictures sold ovation magazine
Muimbaji raia wa Nigeria Tiwa Savage jana Nov 23 amefunga ndoa ya kiasili na mchumba wake wa muda mrefu ambaye pia ni Manage wake Olandunji balogun aka Tee Billz..


 iyanya davido tiwa savage wedding ceremony

ndoa hiyo ilihudhuliwa na mastaa wa Nigeria kama Iyanya ,davido Lola Okoye na Omotoyo

lola okoye anita isama
Mtandao nchini Nigeria ameripoti kuwa imebaini kuwa Tiwa Savege na mumewe wameuza haki za picha zao za harusi kwa jarida maarufu la Ovation Magazine ..
sasa huenda week ijayo jarida hilo litoka na toleo exclusive la ndoa hiyo ,ishu hii haijawashangaza wengi kwa kuwa kila kitu kinachofanya na watu maarufu inchini nageria ni pesa.

0 comments: