Sunday, November 17, 2013

Young Jeezy akasirika kuchereweshwa kutoka albam yake mpya..


Young Jeezy (cropped).jpg


Rapper Young Jeezy ameujia juu uongozi wa wa label inayosimamia kazi zake Island Def Jam  na Universal Music Group kwa kushindwa kuweka wazi tarehe rasmi ya kutoka kwa albam yake mpya mpaka sasa.


katika mfululizo wa tweets za jeezy alizozichapisha alhamis iliopita amedai ataivujisha albam hiyo kabla ya Xmass kama Def Jam wataendelea kukaa kimya juu ya siku rasmi ya kutoka kwa albam hiyo.

jeezy amekuwa akiifanyia kazi albam hiyo kwa miaka miwili iliopita licha ya mwaka huu kutoa ngoma nyingi kusupport albam lakini bado tarehe ya kutoka haijatajwa na label inayomsimamia,Def Jam.
hii sio maya ya kwanza jeezy kulalamikia label yake kuchelewa ku-release albam yake kwani hata albam yake iliopita Thug motivation:103 ilikutana na changamoto hiyo.

0 comments: