Monday, November 11, 2013

prezzo na navio kushiriki kwenye mixtape ya dj drama..


dj drama  Chick

Rappers wawili kutoka Kenya Madtraxx and Prezzo watashiriki katika mixtape mpya ya American hip-hop artiste and DJ, DJ Drama.  DJ drama amesha wahi kufanya kazi na wasanii wakubwa marekani kama , lil wayne, Ti, Ludacris na wengine kibao


dj drama airport
Week iliopita dj drama alikwa nchini Kenya akasema amechagua wasanii hao kwa kuwa wamejitokeza na wako tofauti na wengine
 “binafsi nimevutiwa na hawa wasanii wawili kimashairi na nguvu ya sauti zao ,pia nimekuja Kenya nimeona Djs kadhaa ambao wameonesha wapo vizuri ntafanyanao kazi siku za mbeleni ,naipenda Kenya kwasababu my President Barack Obama anaasili ya Kenya ,amesema dj drama mwenye miaka 35  ambaye alikuwa na show jijini nairobi..
Dj drama with collo
Mixtape hiyo itashirikisha pia wakali kutoka Uganda Klear Kut group ambalo linaundwa na Navio na JB .

0 comments: