Sunday, September 30, 2012

BET Hip Hop Awards 2012: Red Carpet Photos..

0 comments
                                                           Brianna perry

                                                            Kevin McCall
                                                 MGK, 50 Cent, and French Montana
                                                          2 Chainz and daughter
                                                                        T.I.

Lineup ya 2012 BET Hip Hop Awards Cypher hii hapa...

0 comments

The 2012 BET Hip Hop Awards ambazo kwammwa huu zilizinduliwa rasmi Atlanta (9/29) zitafanyika October 9. Kwa mara nyingine tena zikisimamiwa na comedian Mike Epps ,aliyopo juu kwenye picha. sehem ya show hiyo ambayo hutuvutiatulio wengi huwa ni MC cyphers.
Check out lineup ya watakao wakilisha:
Snoop Lion (Snoop Dogg), T.I., DMX, A$AP Rocky, Cassidy, Mystikal, Talib Kweli, B.o.B, Eve, Boy Jones, Brianna Perry, Childish Gambino, Chipmunk, Lil Chuckee, The Kid Daytona, Driicky Graham, E-40, YG, Hopsin, Iggy Azalea, Joey Bada$$, K’La, Kendrick Lamar, Kosha Dills, Kurupt, Mac Miller, Murda Mook, DJ Quik, RZA, ScHoolboy Q, Tito Lopez, Trae Tha Truth, Xzibit, Angel Haze, and Ab-Soul.

ULE MCHAKATO WA VISON RECORD'S WAKUSAKA VIPAJI NJE NA NDANI YA WILAYA YA MAKETE UMEANZA NA FOMU ZA KUJIUNGA ZINAPATIKANA KWA 10,000/=

0 comments
Uzinduzi wa studio hiyo utafanyika Tarehe 27/10/2012 wakati mgeni rasmi atakuwa Mkuu wa Wilaya Makete Mh. Josephine Matiro na ikumbukwe kuwa watakao kuwa washindi watatu katika shindano hilo la kutafuta vipaji watarekodi bure na kazi zao zitasimamiwa naVISION ENTERTAINMET.

Mawasiliano kwa watakaotaka kuchukua fomu 0755 894 663 & 0657 803 934.

Slogan ya Mtikisiko 2012 hii hapa....

0 comments


Hii ni show kubwa ambayo hufanyika kila mwaka kusini wa Tanzania.. this tym itafanyika October na kushiriksha wasanii kibao kutoka bongo na nje…
 
Hivi ndivyo ilivyokuwa mwaka jana…
Ndo vileee..

Rick Ross na Young Jeezy wadaiwa kuzozozana Backstage BET Hip-Hop Awards....

0 comments


(September 30), Rick Ross and Young Jeezy imeripotiwa waliingia kwenye mzozo  backstage ya BET Hip-Hop Awards.
Funk Master Flex dakika chache baada ya tukio hilo, alitweet kuwepo kwa mzozo kati ya  Rozey na Jeezy wakiwa  backstage,mzozo uliohusisha kushikana na kusukumana na baada ya kurushiana maneno..