Tuesday, September 04, 2012

IZZO B Adaiwa kukataa kufanya collabo nawasanii MBEYA…Akizungumzia project ya Mbeya All stars Zest Mkali producer aliyefanya ngoma hiyo .,wakati akipiga story na the splash ( Ebony FM ), amesema sababu za kuto washirikisha wasanii mwenye majina kutoka mbeya ni kutoka na wasanii wengi kuwa busy lakini pia hukaataa collabo na wasanii chipukizi akimtaja IZZO..
Msikilize hapa…

0 comments: