Wednesday, September 05, 2012

SIHUSIKI NA MBEYA ALL STARS, IZZO BUSINESS..


Rapper Izzo Buzness amefunguka kuhusu Mbeya Allstars nakusema hakujua kuhusu hio nyimbo wala imetengenezwa wapi na hajahusishwa .Izzo ame hold down Nyunyuz nakusema kuwa hajakata kufanya Mbeya All Stars ila kwa sasa huu mziki ni biashara na kila unachifanya uwe na malengo sio ku copy na ku paste tu .Kigoma All Stars wamefanya kitu kizuri na wame safiri kwanda Kigoma na Wamefanya show .Pia wameboresha mambo yao tofauti kupitia udhamini wa hio nyimbo . Wakati unafanya Project kama hizi lazima ujue lengo lako na sio kufanya tu .
Izzo alisema Tayari watu wa Mbeya wanajua anachofanya na anawakilisha vizuri kabisa na hilo ni tosha kabisa kwa mjii wake . Sio sababu wao wamefanya na sisi tufanye ila kuna mambo ya muhimu zaidi ya kufanya mziki.

Mskilize Izzo Buzness Hapa

SOURCE..SamMisago.blogspot.com

0 comments: